Natafuta Manager wa nyumba ninayoishi

Bill Lugano

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
1,189
Reaction score
6,450
Wadau natafuta Manager. Awe na sifa hizi. Mdada mzuri ambaye hajajichubua.mwenye degree ya Hotel Management au Human Resource. Awe na uzoefu wa kazi zaidi ya miaka 2 hotel ya 4-5 star.

Awe na mikono mizuri na kucha pia msafi anayeweza kuzungumza english fluently.bila kutafuna tafuna maneno.

Pia yeye anitafutie watu wawili.mmoja mpishi na mwingine wa kufanya usafi home.yeye manager ndo atawa manage hawa wengine. Wote wawe na Driving licence. Ni muhimu sana.

Karibuni.
 
Mazee kwa kamba nimekuvulia kofia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…