Da nimeipenda jf. Mi nakukaribisha karatu, unaweza kuja wkend tukaenda hata crater ya ngoro*2 kukuonesha moja ya urithi wtu welcome u welcome all.
usijali kabisa.....mwenyeji wangu anatokea Kismayu...
Mhhhh! Preta huyo kama siyo Al-Shabaab sijui.
hapana sio al-shabab......
hiviii....hujambo...?
Preta mi Sijambo mmepotea sana!
Karibu kwenye ile mitaa yangu!
asante....nitakuhabarisha nikianza kuja.....
well come!
mkuu hivi kile kikao mlikaa? make nimejitenga leo ndonimefungua nikalikuta tangazo!