Natafuta Marafiki Arusha

Joined
Aug 17, 2021
Posts
9
Reaction score
13
Habari zenu wapendwa,Poleni na kazi au shughuli tofauti tofauti.

Niko Arusha and natafuta marafiki both wanawake na wanaume.Sijali umri ila napendelea watu smart kichwani yaani intelligent people.

I am ready to meet and make new potential friends.

Kuhusu Mimi

1.Mwanamke
2.Almost 30 yrs
3.Employed
4.Book worm
5.Napenda mambo ya kijasusi sana.

Karibuni.
 
Smart kichwa gani? Cha chini au cha juu
 
30yrs unatafuta marafiki em kuwa serious kidogo au hujaolewa??
 
Jiandae kupata lundo la mashoga kwa mji huo
 
Karibu chugga.... unafanyia wanaume mobile Massage!? niko kijenge juu hapa.

It seems that uko kikazi zaidi.. kwa hii I'd ya kimkakati!
 
Krbu nikunyongwe Cha Arusha mgeni..

Cjui unatumia dry au mix[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Karibu chugga.... unafanyia wanaume mobile Massage!? niko kijenge juu hapa.

It seems that uko kikazi zaidi.. kwa hii I'd ya kimkakati!
Ilitokeaga mis spelling wakati naandikisha.But jua tu I don't do Massage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…