Natafuta Marafiki Arusha

Natafuta Marafiki Arusha

Marafiki tupo Lakini lazima mezani iwepo nyagi au kvant au vinavyofanana na hivyo
 
Habari zenu wapendwa,Poleni na kazi au shughuli tofauti tofauti.

Niko Arusha and natafuta marafiki both wanawake na wanaume.Sijali umri ila napendelea watu smart kichwani yaani intelligent people.

I am ready to meet and make new potential friends.

Kuhusu Mimi

1.Mwanamke
2.Almost 30 yrs
3.Employed
4.Book worm
5.Napenda mambo ya kijasusi sana.

Karibuni.
Mambo Exotic_Massage bado uko arusha?
 
Back
Top Bottom