Habari zenu wapendwa,Poleni na kazi au shughuli tofauti tofauti.
Niko Arusha and natafuta marafiki both wanawake na wanaume.Sijali umri ila napendelea watu smart kichwani yaani intelligent people.
I am ready to meet and make new potential friends.
Kuhusu Mimi
1.Mwanamke
2.Almost 30 yrs
3.Employed
4.Book worm
5.Napenda mambo ya kijasusi sana.
Karibuni.