eee boooooMsagano huanza kidogo kidogo. Mwanzo wa ngoma NI lele
Jibu swali wewe,kuruka ruka hakutakusaidia[emoji851] acha fikra za kimasikini, kwan kuolewa lazima? Nani kasema? Mana sitafuti mume sasa Hilo swali vipi
??? Hii JF imekua genge la watoto Sikuhizi…
Duh yani swali dogo tu ila limekutoa povu namna hiyo?[emoji851] acha fikra za kimasikini, kwan kuolewa lazima? Nani kasema? Mana sitafuti mume sasa Hilo swali vipi
??? Hii JF imekua genge la watoto Sikuhizi…
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa tabia hiy ndio maana umekuja jf [emoji6][emoji6] ndio unataka mtu anae jielewa mbona mchizi kakuuliza simpo sana[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]una nongwaaaNawewe acha kudandia gari kwambele kenge wewe
Duh yani swali dogo tu ila limekutoa povu namna hiyo?
Kuna nia nyingi za kutaka kujua status yako. Wengine hatupendi urafiki na wake za watu.