Natafuta Marafiki Singida

Natafuta Marafiki Singida

Spinster

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
487
Reaction score
138
Habari wanajamvi,

Kama uzi unavyojieleza mm ni mwanamke (aga32) nimehamia Singida recently nahitaji company ya marafiki, dada, ndugu wa hiyari ( sio mpenzi please) kutokana na ugeni nimekua busy na majukumu hvyo nimeshindwa kufurahia makazi mapya.

Rafiki anaetakiwa awe muelewa wa Mji, friendly, anayependa advantures na matured ( sichagui jinsia).

Thanks In Advance [emoji2069][emoji1488]
 
Lah fursa hiyo sijui kwa nini sipo Singida [emoji1787][emoji23]
 
[emoji851] acha fikra za kimasikini, kwan kuolewa lazima? Nani kasema? Mana sitafuti mume sasa Hilo swali vipi
??? Hii JF imekua genge la watoto Sikuhizi…
Duh yani swali dogo tu ila limekutoa povu namna hiyo?

Kuna nia nyingi za kutaka kujua status yako. Wengine hatupendi urafiki na wake za watu.
 
Nawewe acha kudandia gari kwambele kenge wewe
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa tabia hiy ndio maana umekuja jf [emoji6][emoji6] ndio unataka mtu anae jielewa mbona mchizi kakuuliza simpo sana[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]una nongwaaa
 
Rafiki nipo,njoo mitaa ya karakana.Ili nikupeleke mnada wa kona ya mohamed au njia panda au manga ukale nyama choma kila jumamosi.
 
Duh yani swali dogo tu ila limekutoa povu namna hiyo?

Kuna nia nyingi za kutaka kujua status yako. Wengine hatupendi urafiki na wake za watu.

Haha, haya nimeilewa , yaani namaanisha nimke wa mtu.. Halali kabisaaaa…nna mtoto mmoja! Nampenda sana Mume wangu [emoji23][emoji3590][emoji3059](Happy Now??!) [emoji851][emoji54]
 
Back
Top Bottom