Natafuta marafiki wa kawaida wa jinsia zote ambao wapo ktk mkoa wa mwanza.

Natafuta marafiki wa kawaida wa jinsia zote ambao wapo ktk mkoa wa mwanza.

I have all I need in my beloved husband Good Guy. Dude Which part of not looking didn't you understand. And when you say am female what do you mean? Now that am female I should walk around pantyless because the sole purpose of my creation is to get laid? figganigga, njoo huku bro unieleze ilikuwaje ukanitaja kwenye uzi huu manake sielewi.
hellow Good Guy, huyu ni mke wa mtu. ndoa iheshimiwe na watu wote. mia
 
Last edited by a moderator:
I have all I need in my beloved husband Good Guy. Dude Which part of not looking didn't you understand. And when you say am female what do you mean? Now that am female I should walk around pantyless because the sole purpose of my creation is to get laid? figganigga, njoo huku bro unieleze ilikuwaje ukanitaja kwenye uzi huu manake sielewi.

wow That escalated quickly, you do realize i'm just being sarcastic do u!! Nothing serious dada
 
Mwanza ina JF members wengi siku hizi!
'
Ngoja nione kama tutaendelea kuwa wengi,
Viva Rock City!
 
tuko wengi, kuna mtu aliwahi kupropose kuwa tukutane na sisi wa mwz tuwe kama jf members wa dar na arusha. Eiyer, mwambie huyu anaetafuta marafiki mwz ametupata, tuko kibao.... viva rocky city
Mwanza ina JF members wengi siku hizi!
'
Ngoja nione kama tutaendelea kuwa wengi,
Viva Rock City!
 
Mwanza ina JF members wengi siku hizi!
'
Ngoja nione kama tutaendelea kuwa wengi,
Viva Rock City!
Jamani nipo jijini kama jina langu lilivyo, mimi ni HE. Hebu tutafutane na kuanzisha Mwanza (Rock City Wing).
 
Habari zenu wana jamii,mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 43,natafuta marafiki wa kawaida wa jinsia zote yaani wanaume na wanawake wawe na umri wa kuanzia miaka 35 na kuendelea,wawe wanaishi au wapo ktk mkoa wa wa MWANZA.Namba yangu ni 0756 870 381,KARIBUNI MARAFIKI.
Nipo jijini kama jina na avatar zinavyoonyesha. Am @ 33yrs, am I eligible to join your friendship in anyway/s ?
 
Back
Top Bottom