Mkuu tafuta kitu wanachopenda wadada, Tafuta hela hapo watakuja mwenyewe kwa rafiki yao wa kweli pesa, wewe siunataka mbadishane mawazo utaendelea kubadilishananao mawazo kati wenzio wanawafaidinatafuta marafiki wa kike tu. Wa kubadilishana mawazo....!
STRICTLY SINA MPANGO WA KUOA AMA KUWA IN RELATION..
NI PM KAMA UPO READY
Sent using Jamii Forums mobile app
I just need feminist perspective bro...!Kumbe unajua tamu waliyonayo ndo yakufaidi basi inatakiwa ujue wakubadilishananao mawazo ni wanaume, unachotaka wewe 22+ wanawake tu hauko serious, nadhani hujui a woman can't think more logically, all of her thinking based on feelings and A real man can think analytically