Natafuta marafiki wa kike 22+

Natafuta marafiki wa kike 22+

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] you amaze me, anywayss wanakuja endelea kuwait

KAABAD THE GREATEST
 
natafuta marafiki wa kike tu. Wa kubadilishana mawazo....!

STRICTLY SINA MPANGO WA KUOA AMA KUWA IN RELATION..

NI PM KAMA UPO READY

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tafuta kitu wanachopenda wadada, Tafuta hela hapo watakuja mwenyewe kwa rafiki yao wa kweli pesa, wewe siunataka mbadishane mawazo utaendelea kubadilishananao mawazo kati wenzio wanawafaidi
 
Kumbe unajua tamu waliyonayo ndo yakufaidi basi inatakiwa ujue wakubadilishananao mawazo ni wanaume, unachotaka wewe 22+ wanawake tu hauko serious, nadhani hujui a woman can't think more logically, all of her thinking based on feelings and A real man can think analytically
I just need feminist perspective bro...!
 
Back
Top Bottom