Natafuta marafiki wa kike wa kubadilishana nao mawazo

Natafuta marafiki wa kike wa kubadilishana nao mawazo

Sioni kama huku unaweza kupata marafiki unaosema. Labda uende kule fesibuku.
 
Marafiki wa kike wa kubadilishana nao mawazo....kwani wakiume hawana mawazo??
Sema tu unafuta warembo mserereko ujilie Mbunye kiulaini.
 
Angalia PM yako
90876509098.jpg
 
Back
Top Bottom