Mruma J
Senior Member
- Jan 27, 2018
- 123
- 82
Mimi ni mwanaume nipo Kilimanjaro, nimejiajiri natafuta marafiki wa kike tu wawe wajasiria mali. Lengo ni kubadilishana mawazo kwani mimi naamini kua nahitaji sana ushauri kutoka kwa wanawake kwani wanawake ni mama zetu, dada zetu, shemeji zetu na hata wake zetu hivyo naamini tutakua tunapeana fursa za maisha karibuni PM