[emoji16][emoji16][emoji16] Nitamchezea Sitaki DhambiZero IQ Naamini hutakosa cha kushare na huyu bibe.
monrace kama wewe ni wakike alafu upo serious kweli embu ni pm mimi.. mwenyewe nipo mpweke in real wakuuHabari wakuu,
Naleta kwenu ombi langu. Natafuta marafiki wa kushare nao ideas kuchat nao, kuhang out; yaani kupeana company kwa kweli nmechoka kuwa mpweke. Naomba km uko ready slide my PM nikuchek. Huwez jua huko mbeleni nn kitahapen maana urafii huanza kama hivi.[emoji177][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ni nini mkuu.?