Natafuta marafiki wa ku-share nao ideas kuchat nao, kuhang out

Natafuta marafiki wa ku-share nao ideas kuchat nao, kuhang out

Habari wakuu,

Naleta kwenu ombi langu. Natafuta marafiki wa kushare nao ideas kuchat nao, kuhang out; yaani kupeana company kwa kweli nmechoka kuwa mpweke. Naomba km uko ready slide my PM nikuchek. Huwez jua huko mbeleni nn kitahapen maana urafii huanza kama hivi.[emoji177][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
monrace kama wewe ni wakike alafu upo serious kweli embu ni pm mimi.. mwenyewe nipo mpweke in real wakuu
kwanini lakini??
 
Back
Top Bottom