Natafuta marafiki wa kuchat,kushare mawazo, na kupiga stori

Denis denny

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2012
Posts
5,780
Reaction score
7,854
Hi ni popote kwa wote,uwe kijana,mzee,mtu mzima,kwa jinsia zote.Ukijickia lakn--haulazmishwi
check me on email; mandeledenis@gmail.com.
LIFE WITH FRIENDS IS EVERYTHING,JUST TRY IT-----
 
Naanza na ww mtaalam,
Hi ni popote kwa wote,uwe kijana,mzee,mtu mzima,kwa jinsia zote.Ukijickia lakn--haulazmishwi
Namba ya kilongalonga cha mkononi: 0652397472 or mandeledenis@gmail.com.
LIFE WITH FRIENDS IS EVERYTHING,JUST TRY IT-----
 
Hapa jamvini huwezi kupata marafiki wengi jaribu huko fb.
 
Hapa jamvini huwezi kupata marafiki wengi jaribu huko fb.

Mkuu Chibolo leo usishangae kuniona mmu ambayo ndo oysterbay ya jf,nimekimbia uswazi ya jf chichat baada ya kulikoroga huko. Mkuu unafahamu kale kanyimbo ka mlimani park?
Usimchezee chatu,
Oh chatu eh,
Jogoo usimtupie,
Utaukosa ushindi.
Huko chichat kuna watu wamenifukuza na makarai,sufuria,vipande vya kuni......kisa jfudaku imeripoti tukio sahihi la nairobi.
Kopi:: Madame B, Kongosho, Kipipi (utasutwa), Mamndenyi (nimekuweka kiporo).
 
Last edited by a moderator:
Yaani hadi namba yako una anika namna hii?

Hi ni popote kwa wote,uwe kijana,mzee,mtu mzima,kwa jinsia zote.Ukijickia lakn--haulazmishwi
Namba ya kilongalonga cha mkononi: 0652397472 or mandeledenis@gmail.com.
LIFE WITH FRIENDS IS EVERYTHING,JUST TRY IT-----
 
Kabla ya kuchat ni muhimu kujua umri wako, unajishuhulisha na nini n.k,

Duh, kumbe hata kuchat kunategemea na status na shughuli ya mtu. Hii digital life itafanya kabla hujawa rafiki na mtu mana exchange CVs nadhani
 
Duh, kumbe hata kuchat kunategemea na status na shughuli ya mtu. Hii digital life itafanya kabla hujawa rafiki na mtu mana exchange CVs nadhani

Umri unamata kwenye kuchat, interests , na muhimu kujua anafanya nini isije ikawa usalama wa taifa bure, mie bado napenda kucha zangu. Sitaki vitu vigumu
 
hahahaha unatafuta marafiki jf haya utafutaji mwema Jr
 

Haha haaa Bishangaa umenichekesha kumbe humu kuna osterbay na tandale kwa tumbo.. I was blind lolz.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Umri unamata kwenye kuchat, interests , na muhimu kujua anafanya nini isije ikawa usalama wa taifa bure, mie bado napenda kucha zangu. Sitaki vitu vigumu

Umri yes, akiwa mdogo sana utamfundisha ukubwa mapema, akiwa mkubwa sana utamkumbusha ujana.
kazi yes, pia ina umuhimu nadhani...
Lakini si yote hayo utayajua mkiwa mwachat ndipo mtafahamiana zaidi...
Leo hii nikipost hapa natafta marafiki, nina umri wa miaka ....., shughuli yangu ni afisa ... UN, elimu yangu ni Phd holder katika...... Si comments zitakuwa oooh we watafuta rafiki au wajitangaza.
 

Kwa washamba ndio watakuona kama unajitangaza, ila kwa namna halisi ya utambulisho na kwa waelewa hawawezi kukuwazia hivyo.
 
Hapa jamvini huwezi kupata marafiki wengi jaribu huko fb.

Ndo mana ukaambiwa hulazimishwi ka unataka sawa labda mwenze2 unaongea na VIP soma uzi na kuna tofauti kat ya JF NA FB
 
unahuuuuuuu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…