Natafuta marafiki wa kuchat nao

Natafuta marafiki wa kuchat nao

kalachai

Member
Joined
Jul 4, 2021
Posts
76
Reaction score
110
Muhali gani mabibi na mababu kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji marafiki wa kuchat nao jinsia yoyote tuwe tunabadilishana mawazo mbalimbali kama kiuchumi, kijamii, kielimu,na kiroho pia sihitaji rafiki wa starehe starehe sanaa kwasababu mimi sio mpenzi wa starehe starehe

Umri wangu miaka 23
Jinsia ya kike
Karibuni
 
Tunachati humu humu PM au wewe unasemaje
 
Muhali gani mabibi na mababu kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji marafiki wa kuchat nao jinsia yoyote tuwe tunabadilishana mawazo mbalimbali kama kiuchumi, kijamii, kielimu,na kiroho pia sihitaji rafiki wa starehe starehe sanaa kwasababu mimi sio mpenzi wa starehe starehe

Umri wangu miaka 23
Jinsia ya kike
Karibuni
Dume linapojidai jike
 
Nipo hapa. Nipo Moro. Nakufaa? Umri 38 years.

Back
Top Bottom