kalachai
Member
- Jul 4, 2021
- 76
- 110
Muhali gani mabibi na mababu kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji marafiki wa kuchat nao jinsia yoyote tuwe tunabadilishana mawazo mbalimbali kama kiuchumi, kijamii, kielimu,na kiroho pia sihitaji rafiki wa starehe starehe sanaa kwasababu mimi sio mpenzi wa starehe starehe
Umri wangu miaka 23
Jinsia ya kike
Karibuni
Umri wangu miaka 23
Jinsia ya kike
Karibuni