Natafuta marafiki wa kuchati tu.

jafari irigo

Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
16
Reaction score
0
Mimi ni kijana wa kitanzania nina umri sawa na wote.Nimzaliwa wa Kilimanjaro natafuta marafiki tofauti tofauti wa kuchati nao.nitafute kwa namba:0763775496.kwa mawasliano zaidi karibuni tu jumuike.
 
Mimi ni kijana wa kitanzania nina umri sawa na wote.Nimzaliwa wa natafuta marafiki tofauti tofauti wa kuchati nao.nitafute kwa namba:0763775496.kwa mawasliano zaidi karibuni tu jumuike.
pale juu mlimani au?
 
Mkuu mbona Buguruni wamejaa? ni wewe tu kwani ndo mtaa wenye marafiki wengi zaidi..Nakushauri ukabandike namba yako kwenye mitaa ya huko!
 
Kiukweli mkuu huna haja ya kupoteza muda wa mtu kukupigia simu kwa ajili ya kuthibitisha maombi ya urafiki labda tu kama unataka simu yako ionyeshe wewe ni mtu maharufu na simu yako iko hewani muda wote ikiwasiliana na watu mbalimbali kwa maana ya( busy) ukienda buguruni au pale club ambiance sinza phone book yako inajaa marafiki kwa dakika tano tu kabla haujafika sansilo na meeda au magomeni mitaa ya kwa macheni
Sasa shida yako huna usafili au?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
sasa unanichana live au tusaidianetu mawazo
 
wewe ni kijana wa kike au wa kiume? Labda tuanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…