jafari irigo
Member
- Jan 9, 2013
- 16
- 0
Mimi ni kijana wa kitanzania nina umri sawa na wote.Nimzaliwa wa Kilimanjaro natafuta marafiki tofauti tofauti wa kuchati nao.nitafute kwa namba:0763775496.kwa mawasliano zaidi karibuni tu jumuike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pale juu mlimani au?Mimi ni kijana wa kitanzania nina umri sawa na wote.Nimzaliwa wa natafuta marafiki tofauti tofauti wa kuchati nao.nitafute kwa namba:0763775496.kwa mawasliano zaidi karibuni tu jumuike.
sasa unanichana live au tusaidianetu mawazoKiukweli mkuu huna haja ya kupoteza muda wa mtu kukupigia simu kwa ajili ya kuthibitisha maombi ya urafiki labda tu kama unataka simu yako ionyeshe wewe ni mtu maharufu na simu yako iko hewani muda wote ikiwasiliana na watu mbalimbali kwa maana ya( busy) ukienda buguruni au pale club ambiance sinza phone book yako inajaa marafiki kwa dakika tano tu kabla haujafika sansilo na meeda au magomeni mitaa ya kwa macheni
Sasa shida yako huna usafili au?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
wewe ni kijana wa kike au wa kiume? Labda tuanzie hapo
nina wasi wasi huyu ni wa kike anatafut Hilo nalo neno, kumbee kitu mbagalaaaaaaa