natafuta marafiki wa ukweli

natafuta marafiki wa ukweli

youngforeva

Member
Joined
Apr 26, 2011
Posts
25
Reaction score
2
naitwa james nina umari wa miaka 21,ni mwanafunzi wa chuo hapa dar,,,nahitaji marafiki wa ukweli wa kusaidiana katika raha na shida....umri kuanzia miaka 26 na kuendelea
 
naitwa james nina umari wa miaka 21,ni mwanafunzi wa chuo hapa dar,,,nahitaji marafiki wa ukweli wa kusaidiana katika raha na shida....umri kuanzia miaka 26 na kuendelea

Mwanangu, kuwa rafiki na masomo yako, vitabu vyako na research zako. Achana na marafiki zaidi ya hao kwa sasa.
 
Ha ha ha!FF ulishawahi kuwa JF-BAN1?

Na yote hii ni kutetea *******? FF wewe lazima ni "mtu mkubwa" bana, this stuff is so personal to you just kama ilivo kwa wanaotaka mabadiliko, ila mara nyingi status quo huwa hawana energy kiasi hiki kama ilivyo kwako, thats why i am suprised! Inaonyesha you gonna loose something big endapo ******* watapigwa chini!
 
Back
Top Bottom