Natafuta marafiki wafanyabiashara

hahahahaa Kamanda wangu ww...tutaanzia makao makuu ya cdm kwanza[emoji16][emoji16]
Hebu nambie kwanza mtaji wako unafika kiasi na pia unauzoefu wa hio biashara kwa muda gani, ukiweza nishawishi tunaweza fanya joint vencha maana biashara sasa hivi zimebuma hatujui hata tuwekeze katika kitu gani ili tuendelee kusukuma hili gurudumu la dona kantri.
 
Hahahaha, nasubiri jibu , mie km mna buyer wa uhakika, kn kijana anaweza kuleta mzigo huko huko mliko, mkapima wenyewe kisha mnampa chake anarudi
 
Kuna kila dalili ya kutapeliana humu.
 


Hahaha mm hoja yangy ni kupata netwek zaidi...so mm km mm nimejitosheleza..just netwek mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…