Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
hahahaha, Karibu Sana ,nimependa Uzi wako huuNitakuja pm dec mzee baba...[emoji4][emoji4][emoji4]..huko ndo balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha, Karibu Sana ,nimependa Uzi wako huuNitakuja pm dec mzee baba...[emoji4][emoji4][emoji4]..huko ndo balaa
Hahahaha, usimtishe bana , akiomba msaada tutamsaidiaDadangu manengelo anaonekana ni mgeni kidogo katika hizo harakati, akizubaa kidogo tu atapigwa na wajanja mpaka achakae.
Hebu nambie kwanza mtaji wako unafika kiasi na pia unauzoefu wa hio biashara kwa muda gani, ukiweza nishawishi tunaweza fanya joint vencha maana biashara sasa hivi zimebuma hatujui hata tuwekeze katika kitu gani ili tuendelee kusukuma hili gurudumu la dona kantri.hahahahaa Kamanda wangu ww...tutaanzia makao makuu ya cdm kwanza[emoji16][emoji16]
Hahahaha, mbn unasema sasa? au kwakua juzi Gazeti moja limeandika khs madini kuuzwa sana ,baada ya kufunguliwa kwa masoko ya ndani ,Geita ,Sasa wanawasaka watu?Hahaha jf bana najua wapo watakaosema kuna muuza madini anatafutwa humu...watasema kitengo kazini eti TISS
Jf banaa
Hahahaha, nasubiri jibu , mie km mna buyer wa uhakika, kn kijana anaweza kuleta mzigo huko huko mliko, mkapima wenyewe kisha mnampa chake anarudiHebu nambie kwanza mtaji wako unafika kiasi na pia unauzoefu wa hio biashara kwa muda gani, ukiweza nishawishi tunaweza fanya joint vencha maana biashara sasa hivi zimebuma hatujui hata tuwekeze katika kitu gani ili tuendelee kusukuma hili gurudumu la dona kantri.
Madini au Vito?Hahahaha, nasubiri jibu , mie km mna buyer wa uhakika, kn kijana anaweza kuleta mzigo huko huko mliko, mkapima wenyewe kisha mnampa chake anarudi
Mane kama ni kitengo basi atatupata sana...chombo hichoo hurukii hahahaaHahahaha, mbn unasema sasa? au kwakua juzi Gazeti moja limeandika khs madini kuuzwa sana ,baada ya kufunguliwa kwa masoko ya ndani ,Geita ,Sasa wanawasaka watu?
Tazama picha juu, nimewekaMadini au Vito?
Hahahaha, acha uoga , Men at WorkMane kama ni kitengo basi atatupata sana...chombo hichoo hurukii hahahaa
Mimi ni mwanamke mjasiriamali.
Nimewaza na Nimeamua kutafuta marafiki wafanyabiashara hasa ya madini ili tupeane uzoefu na tekniks za kuhusu hii biashara (how to handle the game).
Iwe ni kota au anamiliki eneo la uchimbaji au awe ana mwalo nitafurahi pia..!
Mimi pia niko kwenye biashara hii
ya madini.
Nahitaji aliye serious tusaidiane na kubadilishana mawazo pia...iwe mwanamke au mwanamume!
Nauza mboga za majani Mchicha,matembele.
Mimi nashawishika kuifanya hila sijui kitu hila nasikia kuna upigaji sana
HahahahaKuna kila dalili ya kutapeliana humu.
Hahahaha, Ukiipata jibu ni tagJamanii kama una tumilioni moja unaweza kufanya hii biashara [emoji12][emoji12]
Asubuhi naanzia kuuzia kwa mtogole natembeza hadi vingunguti kiembe mbuzi.Unauzia wapi Mkuu nikuungishe ,,maana nimebarikiwa familia kubwa kweli bila mboga za majani na maharage haiendi kabisa.
Hebu nambie kwanza mtaji wako unafika kiasi na pia unauzoefu wa hio biashara kwa muda gani, ukiweza nishawishi tunaweza fanya joint vencha maana biashara sasa hivi zimebuma hatujui hata tuwekeze katika kitu gani ili tuendelee kusukuma hili gurudumu la dona kantri.
Mkuu sitanii niko serious nimechoka kuuza mboga za majaniHahahaha, Ukiipata jibu ni tag
Hahahaha, njoo PM nikupe mbinuMkuu sitanii niko serious nimechoka kuuza mboga za majani