Natafuta marafiki wafanyabiashara

ila inapatikana sasa kwa urahisi!?

hahaaha we unataka urahisi gani mkuu..... watu wanakesha kudrill, kusomoa, kuyaponda mawe kuwa aggregates kama ni mabichi kuyaanika.... maana maduara mengine yamefikia kwenye mwamba laini maji yanatoka.... kisha kuyapakia karashani....kuyasaga kisha kuosha powder kisha kuyazoboa kutoka kwenye karo.... kisha kuyatunza marudio kwaajili ya kwenda kuprocess.... na process nyingine nyingi.... mpaka mwisho kabisa illusion...
 
Me hiyo biashara naona ntashindwa asee,njoo kwenye tanzanite ukinunua tu kama ni gonga unali sort unapata jiwe lenyew mda huo huo unauza au unaweka stock na kwenda kuuza haina mbwembwe nyingi hivo.
 
Me hiyo biashara naona ntashindwa asee,njoo kwenye tanzanite ukinunua tu kama ni gonga unali sort unapata jiwe lenyew mda huo huo unauza au unaweka stock na kwenda kuuza haina mbwembwe nyingi hivo.

hivi mkuu yale magonga kumbe yana thamani pia?... nilipata kuyaona ya zambarau hivi... halafu tanzanite mpaka ipatikane si watu wengine wanahustle mpaka miaka 20 hawajaona kitu..
 
Usijaribu kabisa kuingia.
Utaharibu biashara zako zote.
Kuna utapeli mwingi sana kwenye hiyo biashara.
Ukizubaa kidogo tu unauziwa kipande Cha chupa kwa milioni 20.
 
Usijaribu kabisa kuingia.
Utaharibu biashara zako zote.
Kuna utapeli mwingi sana kwenye hiyo biashara.
Ukizubaa kidogo tu unauziwa kipande Cha chupa kwa milioni 20.
acha kumtisha mwenzio mkuu... si lazma anunue....na si madini yote yanafanana na chupa... la zaidi anaweza kuingia mwenyewe mzigoni akachimba bila kushurutishwa...hicho kipande atauziwa na nani?..
 
acha kumtisha mwenzio mkuu... si lazma anunue....na si madini yote yanafanana na chupa... la zaidi anaweza kuingia mwenyewe mzigoni akachimba bila kushurutishwa...hicho kipande atauziwa na nani?..
Hata hyo kuchimba usifikiri ni kazi ya lelemama kwamba unalala nyumbani na kula chipsi kuku inataka mtu wa kujitoa sana uwe kamanda kwelikweli.
 
We fungua Pub tu, na huo mshepu huwezi kosa wateja utauza sana ukiweka na jiko la K'moo Mwanamke mrembo na biashara ngumu kama hizo za nini?
 
We fungua Pub tu, na huo mshepu huwezi kosa wateja utauza sana ukiweka na jiko la K'moo Mwanamke mrembo na biashara ngumu kama hizo za nini?

Hahahaha...jaman.huu unyanyapaa utaisha lini...mm pub siwez bwana...msukuma yule ataniniga shingo..we njoo tuunge tela.utakuja nishukuru mwaka ujao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…