Natafuta marafiki wafanyabiashara

Natafuta marafiki wafanyabiashara

Hahah na huko kwenye madini lazma tukukule tu sio kwa utamu huo aisee! Jamaa ajiandae kutumia Panado za Kenya. Mi nimeamua kubetia shamba awamu hii...wacha nikivuna tutaongea vyema mamii

😂😂😂 Hizo 'zarau '..popote pale ujinga unatokea uzuri nipo naye .amechoma meli moto..ww endelea na kilimo mkuu....
 
Me hiyo biashara naona ntashindwa asee,njoo kwenye tanzanite ukinunua tu kama ni gonga unali sort unapata jiwe lenyew mda huo huo unauza au unaweka stock na kwenda kuuza haina mbwembwe nyingi hivo.
Nna order ya magonga
Soon deal ntaiweka Sawa
Zaidi njoo pm

Ova
 
inawezekana mkuu..watz tuna sifa ya uchoyo PENYE hela hata siku moja hutoskia mtu akipasema....jaribu kumfata rafiki ako yeyote mfanyabiashara hata awe anauza duka,maziwa,nyanya,nk Muulize "biashara yako vipi ndugu yangu unaionaje?"..jibu atalokupa "hivyo hivyo ndugu yangu,shida tu hizi hata hamna kitu zaidi ya kukomaaa" ila pamoja na jibu lake hilo tangu umjue huu ni mwaka wa 5 anaifanya hyo biashara yake ya duka,mboga,vinywaji,nk na ana majumba kbao.

Hata siku moja hutosikia mtu anakujibu..ndugu yangu huku kuna pesa bwana,au huku napiga hela yani hutokaa usikie mtu akikupa huo moyo ktk 10 utampata m1..so anachokisema manengelo ni la kumshukuru maana anatufungua akili wapi pesa ilipo,wengine hata kujisema wanafanya hii kazi hawasemi maana wanajua hela ipo na ukiwauliza watachokuelezea ni Changamoto tuuuu hutopata hata m1 wakukuelezea faida.

Usiogope..TRY it lets TRY Najitoseamo mimi.

Nawazaga siku nije na uzi kuelezea ulisemalo hilo..watz ni kwikwi!
 
Nawazaga siku nije na uzi kuelezea ulisemalo hilo..watz ni kwikwi!
tafuta muda tupe kinaga ubaga..ingependeza sana kama Watz wote tungekua na sifa ya kupeana idea za biashara tunazofanya hakika tungeokoana na kutengeneza chain nzuri sana..kuna watu wana pesa ila hawajui pakuzipeleka unafkiri ukija na thread ukadadavua vizuri kila kitu Mwenye pesa zake si ndo ana invest kupitia wewe...Wanawezeshwa matajiri wakubwa sembuse sisi wenye vi.mil visivyojaa hata briefcase?

Uchoyo tu na wivu na kutojiamini kwetu....
 
Hivi kuna jinsia zaidi ya kike au ya kiume?! Ujumbe uko sawa ila sikujua maana ya kuweka jinsia, uliishasema wafanyabiashara au wapo wasio na jinsia?!
kuna LGBT au queer people. Hawa huwa hawajitambulishi kwa jinsia fulani 😀😀😀😀. Dada lazima awe specific asije akachanganya mambo
 
Wa madini ninaowajua last time walipigwa risasi wakitokea mahenge!

sasa hv kwwnye machimbo wanamshukuru sana huyu Raisi wenu wanasema zaman zilikua ni risasi...wenye ukwasi wakija wanakuja kimabav sana wanachukua eneo huku mnawaona..ss hv Kimyaaaa..hakuna cha mwenye hela au mchimbaji mdg..wotw heshima 1...nimepata hata hvyo mzee baba
 
Nakutakia mafanikio uwe bilionea.
 
sasa hv kwwnye machimbo wanamshukuru sana huyu Raisi wenu wanasema zaman zilikua ni risasi...wenye ukwasi wakija wanakuja kimabav sana wanachukua eneo huku mnawaona..ss hv Kimyaaaa..hakuna cha mwenye hela au mchimbaji mdg..wotw heshima 1...nimepata hata hvyo mzee baba
We itabidi uje pm tuyajenge zaidi

Ova
 
Back
Top Bottom