Natafuta marafiki wanao ishi Moshi au Arusha

okwili

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
221
Reaction score
35
Habari zenu wana Jf, hivi karibuni nimeamia Moshi. Na huku mimi sio mwenyeji sana. Ila kipindi cha nyuma nilikuwa nakuja Arusha nakaa wiki moja na kurudi Dar. Ila safari hii nitakaa muda mrefu hapa Moshi. kwahiyo natafuta marafiki wanaoishi maeneo ya Moshi au Arusha.
 
Njoo arusha mwaya,moshi tutaenda kirisimasi,si ndio eti mankaeeh?
 
badilisha basi hiyo HILA iwe ILA.........
 
Asante, sawa nabadilisha kiswahili nacho huwa kinanipiga chenga kwenye mambo fulani.

oooh tate nane......basi niambie unatumia lugha gani kwa sana ili isikusumbue........
 
oooh tate nane......basi niambie unatumia lugha gani kwa sana ili isikusumbue........

Natumia kingeleza, kiswahili na kifaransa kidogo sababu najifunza kifaransa. Ila kwenye kingeleza huwa sipati hayo matatizo kama navyopata kwenye kiswahili.
 
Natumia kingeleza, kiswahili na kifaransa kidogo sababu najifunza kifaransa. Ila kwenye kingeleza huwa sipati hayo matatizo kama navyopata kwenye kiswahili.

sasa mwenzangu.....mimi nipo Yaeda.....huku kingereza kinatusababisha tupate matatizo ya uzazi.......utanisaidiaje hapo......? na ninahitaji kuwa rafiki yako......?
 
sasa mwenzangu.....mimi nipo Yaeda.....huku kingereza kinatusababisha tupate matatizo ya uzazi.......utanisaidiaje hapo......? na ninahitaji kuwa rafiki yako......?

Hamna shida,hata kishwahili najua, nikikosea utakuwa unanisahihisha kama ulivyo fanya mwanzo. Ila umenifulahisha na maneno yako kuwa Kingereza kinawasababishia matatizo ya uzazi uko ulipo. matumizi ya lol na mwe humu Jf huwa yananifanya nifurahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…