okwili
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 221
- 35
Habari zenu wana Jf, hivi karibuni nimeamia Moshi. Na huku mimi sio mwenyeji sana. Ila kipindi cha nyuma nilikuwa nakuja Arusha nakaa wiki moja na kurudi Dar. Ila safari hii nitakaa muda mrefu hapa Moshi. kwahiyo natafuta marafiki wanaoishi maeneo ya Moshi au Arusha.