Natafuta marafiki wanao ishi Moshi au Arusha

Natafuta marafiki wanao ishi Moshi au Arusha

Mkuu jifunze vizuri kuandika Kiswahili sanifu. una matatizo ya R na L
 
Mji wa Moshi ni mzuri sana ila unachosha haraka sana.
 
Habari zenu wana Jf, hivi karibuni nimeamia Moshi. Na huku mimi sio mwenyeji sana. Ila kipindi cha nyuma nilikuwa nakuja Arusha nakaa wiki moja na kurudi Dar. Hila safari hii nitakaa muda mrefu hapa Moshi. kwahiyo natafuta marafiki wanaoishi maeneo ya Moshi au Arusha.[Karib= Arusha jamaa!
 
Back
Top Bottom