NATAFUTA MARAFIKI WANAOPENDA FITTNESS

NATAFUTA MARAFIKI WANAOPENDA FITTNESS

Mimi Kijana nina miaka 21 Ni gym trainer nilikuwa natafuta marafiki WANAOPENDA fittness kwa ujumla tupeane michongo na ma deal kadhaaa na kubadilishana mawazo KWA JINSIA ZOTE
Location Dar es salaam
WHATTSUP 0752446155
Mbona umeweka thread yako kwenye love connect?
Kwa hio mimi mwanaume nikikutafuta itakuwaj kijeba sasa?
Isije ikawa kijeba wenzangu hali so hali.
 
Gym trainer unalift bench 60 Kg... Nimeacha gym for three years ila 60 Kg kwangu ni kitu ninachokimudu mpaka sasa.

2015/6/7 nilikua na bench press 100 Kg reps 5.

Nasquat 80 Kg reps 8.

Shoulder press 50 Kg reps 10

Unless uwe unatumia poda na supplement zingine ndiyo maana unapiga hizo Kg.

Anyway mnaouliza gym kuna michongo gani gym kuna michongo ya kazi, biashara, yaani ni kama wewe unapokua kijiweni kwako na ukaambiwa Jumamosi kuna kazi ya kuserve kwenye sherehe.

Bwana mdogo n muongo. Huwez kuwa na miaka 21 ukabeba Kg60

Mie kW sas Weight yng kwa bench n Kg120

Ila madogo weng wa wa Age ya bwana mdogo kufikia weight aloitaja n uongo..
 
Wengi ni vyakula.
Mwanaume utaingiaje mtandaoni unatafuta wanaume wenzako mkanyanyue vyuma?
Mimisijaelewa bado

Kwan mwanangu siku hz kutafuta washkaj mtandon n zambi?

Kwamba ukitafuta washkaj wa kuchemka nao unakuwa chakula?

Aise..
 
Bwana mdogo n muongo. Huwez kuwa na miaka 21 ukabeba Kg60

Mie kW sas Weight yng kwa bench n Kg120

Ila madogo weng wa wa Age ya bwana mdogo kufikia weight aloitaja n uongo..
Mimi nilimaanisha weight ndogo mno.

Mi nikiwa na 21 60 Kg ni kawaida
 
Bwana mdogo n muongo. Huwez kuwa na miaka 21 ukabeba Kg60

Mie kW sas Weight yng kwa bench n Kg120

Ila madogo weng wa wa Age ya bwana mdogo kufikia weight aloitaja n uongo..
Inategemea, Ulaji wake, muda gani amekuwa anapiga gym. Energy inajengwa mkuu, so yawezekana.
 
Back
Top Bottom