jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Haya ntumie no yako pia unapatkana wapi vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji4] unatesa kwelikweli
Mbona ulinikimbia rafiki?
I noted you somewhere and I precaution you kuwa siyo kila rafiki atakufaa kwa kila kitu..!Wapi.
Wajna sikua na whatsapp basi nimewapoteza wote
Nimerudi kule nkaambiwa mambo yamebadilika ndo basi
KaribuOoh pole sana
Mie nipo
Karibu sana.
I noted you somewhere and I precaution you kuwa siyo kila rafiki atakufaa kwa kila kitu..!
Afu surprisingly niliwahi kuona unasema kuwa usitegemee ndugu, sasa wewe uko upande gani rafiki?? Au u mkaa pweke kama watakatifu wa kanisa katoliki??
Nahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!
Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.
Ni hayo tu
Aggy
Naomba namba yako nikuunge ktk group letu la kuondoleana upweke
[emoji4]Naomba namba yako nikuunge ktk group letu la kuondoleana upweke
Ushanipata mkosa yote hapa.Hautajutia kabisa urafiki wetu.
Uko mkoa gani?Nahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!
Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.
Ni hayo tu
Aggy
Nikaribia wapi sasa mimi nimeshajiandaaKaribu
Karibu