Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
- Thread starter
-
- #41
Uko mkoa gani?
Nikaribia wapi sasa mimi nimeshajiandaa
Ukiwa huku (jf) wote tu marafiki
Hahahaha, ushapata Rafiki nami nikuombe namba ya wasap tuchat,Hahahaha
Kwa nini unakuwa mpweke?Ni kweli
Umri wako?
NJOO INBOXNahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!
Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.
Ni hayo tu
Aggy
Tafuta pesa sio watu ni headache toshaNahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!
Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.
Ni hayo tu
Aggy
Hahahaha
humu humu jf ukiperuzi majukwaa tofaut na la siasa utafurahi sanaNahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!
Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.
Ni hayo tu
Aggy
Mkuu
Hahahaha, Sie wahenga msitutenge jamaniHahaahaa nawe muhenga umo?
Hahahaha ,group la kumtoa upwekePoapoa, nimeona umeguna kumwomba namba aggyjay ili nimuunge ktk group
Ndio mkuu au unashaka na hilo groupHahahaha ,group la kumtoa upweke
Ndio mkuu au unashaka na hilo group