Natafuta marafiki

Nahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!

Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.

Ni hayo tu

Aggy
Pole sana dada upweke ni mdudu hatari sana analeta mateso makali mno.......
Na vip maendeleo yako lakini nilisoma ule Uzi wako niliguswa sana moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…