tasila haule
Member
- Sep 18, 2018
- 18
- 2
napenda niwe rafik yako lakini upedo ndio kitu muhimu dear
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo ushafeli huo ndo ukweli
Mkuu, umeiona PM yangu?Nahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!
Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.
Ni hayo tu
Aggy
[emoji23] sijaiona kabisaMkuu, umeiona PM yangu?
Nahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!
Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.
Ni hayo tu
Aggy
Karibu kwenye kisima cha fikra na mitazamo pevu tujadiliane nipm niko Dom fursa ni tele[emoji23]
Kama kuhusu maisha na fursa zake
Biashara etc
Karibu AggyNahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!
Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.
Ni hayo tu
Aggy
Asante mkuuKaribu Aggy
Nakaribia mkuuKaribu kwenye kisima cha fikra na mitazamo pevu tujadiliane nipm niko Dom fursa ni tele
Njoo pmNahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!
Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.
Ni hayo tu
Aggy
OkKaribu Aggy
Na Mimi niku check PM?ni Pm babe Mimi ni ke so usihofu