Natafuta marafiki

Ngoja wamalize weekend
 
Uchapakazi unahusiana vipi na urafiki?

Kama sio mchapakazi lakini najitegemea wewe unaathirika nini?
Mchapakazi ni mtu anaejishughulisha kwa kitu chochote tu ni rahisi kushauriana kupeana mawazo lakini kama hajishughulishi kwa chochote mawazo yanakuwa ya kivivu vivu tu
 
mimi mkulima mwenye ndoto ya kumiliki data protection and cybersecurity company.
vp hapo nakaribishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…