Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Umekidhi vigezo vyake, mchapakazi pia una mawazo chanya haya kimbia haraka Pm ukaongee na rafiki yako.mimi mkulima mwenye ndoto ya kumiliki data protection and cybersecurity company.
vp hapo nakaribishwa.
Bumunda labda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe ivo si viatu nia yako ulikua uone nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijakidhi kigezo hata kimoja,Mkuu Dream Queen msemaji mkuu,wewe hutaki marafiki.
Jamaniii Ahsante kwa kuniona kwenye mtazamo chanya,mkuu Dream Queen sio kweli kwamba ww mvivu na una mawazo hasi hasha Jina lako dream queen lina reflect mtazamo wako;
dream->vision
queen->high rank
*ur strong.
Nikoo hapaaaaNatafuta marafiki wa kubadilishana nao mawazo,jinsia zote tu ilimradi uwe na mawazo chanya ,uwe mchapakazi
Sent using Jamii Forums mobile app
we unajighulisha na kitu ganiMchapakazi ni mtu anaejishughulisha kwa kitu chochote tu ni rahisi kushauriana kupeana mawazo lakini kama hajishughulishi kwa chochote mawazo yanakuwa ya kivivu vivu tu