Natafuta marafiki

Natafuta marafiki

Mimi ni mvivu na nina mawazo hasi...kama utakunivumilia karibu tubomoe wote...naomba unifuate Pm...🚶🚶🚶🚶
 
Mi kazi nachapa, ila nachapia huku Tarime, Mgodi wa NorthMara!

Tahadhari, Mgodi uko ardhini, mfukoni bado hapajakaa sawa!

Je, nakidhi vigezo au mpka mfuko nao utakapokuw Kama Mgodi ndo nikutafute tuwe marafiki wenye mawazo chanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu Dream Queen sio kweli kwamba ww mvivu na una mawazo hasi hasha Jina lako dream queen lina reflect mtazamo wako;
dream->vision
queen->high rank
*ur strong.
 
ucjali Dream Queen pamoja sana,naamini kila mtu hapa duniani anakitu cha kipekee sana (talent) na ukikigundua mapema ukakiendeleza utainjoi,utapiga hela n.k
Every problem is business,find solution and money will automatic.
 
Dah, maisha yanaenda kasi sana,hadi marafiki nao wanavigezo!?
 
Mchapakazi ni mtu anaejishughulisha kwa kitu chochote tu ni rahisi kushauriana kupeana mawazo lakini kama hajishughulishi kwa chochote mawazo yanakuwa ya kivivu vivu tu
we unajighulisha na kitu gani
 
Back
Top Bottom