Natafuta marafiki

Kama kweli unatafuta rafiki wa kubadilishana mawazo na siyo kuombana hela nipe namba yako, kwa sasa sina rafiki marafiki zangu wote wameacha kunisalimia kwasababu wakiniomba hela nawajibu sina nikikupata wewe itakua poa sana
 
Mimi natafuta marafiki wakubadilishana mawazo.

Sifa awe anajielewa mtaratibu na mwenye heshima .

Sichagui jinsia hata wote tu .
Ina maana hauna marafk wa kubadlshana mawazo kwa sas?
Km unao, nn umefkria mpk unahtaj wengne?
 
Yani hili jina linanitatiza. Hatukosei kulenga ndondochas au vichwa mushroom 😂😂😂natania
Haya group likitengenezwa tafadhali tupasiane link ccy🥰🥰
Hao ndondocha na vichwa mash room ndio kina nani mkuu.
 
hao marafiki mnakutania wapi mawazo changing ifanyike?
mimi ni mwandishi wa habari, na camera man msuri sana, naomba kazi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…