Natafuta marafiki

Natafuta marafiki

Kupata marafiki ukiwa na pesa ni rahisi ila ukipata marafiki ukiwa na dhiki utakua umefanikiwa kichiz, me skufichi.

Sihitaji marafiki.
 
Habari

natafuta marafiki wakubadirishana mawazo especially wanachuo lengo nikubadirishana mawazo
Karibu pm📌🔨
Ila insu ya kubadilishana mawazo inawezekana kwa kila mtu wakike kwa wakiume,vijana kwa wazee wafupi kwa warefu weusi kwa weupe
 
Back
Top Bottom