Natafuta marafiki

Natafuta marafiki

bigdaddy

Member
Joined
Oct 27, 2012
Posts
5
Reaction score
0
mm ni kijana wa miaka 20 natafuta marafiki wa jinsia yeyote wa kuchat nao.
 
Mimi ni Jimama, Utanikubali?
Nina Uwezo wa Kukulea Mpaka ukue.
 
Teh teh teh, Dogo, unaulizia karafuu Musoma, nenda Zanzibar ...
 
Mm ni mwajili wa watu ambao hawana Kazi. Je utaweza kuchati na boss??
 
mm ni kijana wa miaka 20 natafuta marafiki wa jinsia yeyote wa kuchat nao.

Wale marafiki zako wa zamani umewagaya au wamekugaya?

Well . . . . kuingia tu chitchat tayari umeshakuwa rafiki yetu.
Karibu tuchat ki hapahapa!
 
mpaka saiv tayar unachat na marafik unataka aina gani ya kuchat??
 
Back
Top Bottom