Natafuta marafiki

Luggano

Member
Joined
Feb 3, 2013
Posts
23
Reaction score
7
Habari zenu wanaJF
Nimekua nikipita JF kama Guest kwa muda sasa,nimefarijika na jinsi watu wanavyosaidiana kwa mawazo na ushauri. Mi ni kijana wa kiume( below 30), elimu yangu ni chuo. Natafuta marafiki wa umri kuanzia miaka 20(sitaki watoto) kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kupeana ushauri mbalimbali wa maisha kwakuwa napitia kipindi kigumu kidogo na I feel lonely sana. Anayehitaji kampani kama mimi niPM
 
kuwa mkweli unataka rafiki wa jinsia gan au ndo nyie hutaki huku unataka? sema unataka msichana ueleweke na sv ya chuo peke yake hutapata yeyote ongezea nyama kwenye sv yako au sio sr we2 wa ee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…