Natafuta marafiki

Natafuta marafiki

Mbuty

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2011
Posts
411
Reaction score
238
Hellow JF, napenda kuimba(gospel sana),kuogelea sana, kutembea,mpira(man utd) na kusaidiana. Nazungumza Kingereza vizuri pamoja na Kiswahili,I'm fun,charming,friendly,easy to get along with,honest and genuine. Natafuta marafiki wa jinsia yeyote na popote pale ndani au njee ya Dar/Tz.Nitakujibu. Asante

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ntakutumia pia sms through your number,ukiona namba inayokaririka simple ujue ni mimi.
 
Social! A wise man doesn't judge a book by its cover! Ngoja nikueleze kidogo, nafanya kazi I'm a credit manager with more than 200 customers I interact with, I'm so friendly kijana, ifm isikushtue sana nilikuwa pale kwa ajili ya masomo na nilikuwa kiongozi with lots of friends, nipo hapa kwa ajili ya networking elewa, unapata watu toka sehemu tofauti na fani tofauti na wanakupa vitu tofauti, networking!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hellow JF, naitwa Sean 27 M nipo Dar, ni graduate IFM 2011 na sasa ninafanya kazi, napenda kuimba(gospel sana),kuogelea sana, kutembea,mpira(man utd) na kusaidiana. Nazungumza Kingereza vizuri pamoja na Kiswahili,I'm fun,charming,friendly,easy to get along with,honest and genuine. Natafuta marafiki wa jinsia yeyote na popote pale ndani au njee ya Dar/Tz. Tafadhali nitumie email kupitia wvevee@yahoo.com au 0773135909 nitakujibu. AsanteSent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
rafiki here i am
 
Hey asanteni nimewa PM.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
daaaa...! Watu mnavimbinu vya kunasa watoto wa wenzenu, tatizo wa humu Jf hawadanganyiki kirahisi ivyoo maana ni ma GT

Sawa Mr GT sitaki kubisha kwamba hapo nawe umefikiria GT! Usipende kuwafanya wenzako nao waamini the way u do au wafikiri jinsi unavyofikiri! Ninae rafiki wa kike au girlfriend na hapa nipo for friendship! Sawa Mr GT.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mie sio mmoja wa ma GT, unadhani ukija na mbinu za upole, na kusema una kazi ndio utapata mtu? ah ah!

Sawa Mr GT sitaki kubisha kwamba hapo nawe umefikiria GT! Usipende kuwafanya wenzako nao waamini the way u do au wafikiri jinsi unavyofikiri! Ninae rafiki wa kike au girlfriend na hapa nipo for friendship! Sawa Mr GT.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sawa Mr GT sitaki kubisha
kwamba hapo nawe umefikiria GT! Usipende kuwafanya wenzako nao waamini
the way u do au wafikiri jinsi unavyofikiri! Ninae rafiki wa kike au
girlfriend na hapa nipo for friendship! Sawa Mr GT.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

You are nothing but my future friend.....please PM
 
Social! A wise man doesn't judge a book by its cover! Ngoja nikueleze kidogo, nafanya kazi I'm a credit manager with more than 200 customers I interact with, I'm so friendly kijana, ifm isikushtue sana nilikuwa pale kwa ajili ya masomo na nilikuwa kiongozi with lots of friends, nipo hapa kwa ajili ya networking elewa, unapata watu toka sehemu tofauti na fani tofauti na wanakupa vitu mi mwalimu hapo

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

ulikuwa course gani??
 
Sawa Mr GT sitaki kubisha kwamba hapo nawe umefikiria GT! Usipende kuwafanya wenzako nao waamini the way u do au wafikiri jinsi unavyofikiri! Ninae rafiki wa kike au girlfriend na hapa nipo for friendship! Sawa Mr GT.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

ulisoma course gani??
mi nafundisha hapo ila tally accounting kama hutomind
 
VZR CNA KUWA OPEN BIG UPPPPPPPPPPPPP:A S angel::A S angel::A S angel::crying:
 
Hellow JF, naitwa Sean 27 M nipo Dar, ni graduate IFM 2011 na sasa ninafanya kazi, napenda kuimba(gospel sana),kuogelea sana, kutembea,mpira(man utd) na kusaidiana. Nazungumza Kingereza vizuri pamoja na Kiswahili,I'm fun,charming,friendly,easy to get along with,honest and genuine. Natafuta marafiki wa jinsia yeyote na popote pale ndani au njee ya Dar/Tz. Tafadhali nitumie email kupitia wvevee@yahoo.com au 0773135909 nitakujibu. Asante

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
haah.. ni pm tu kama unataka rafiki, ila kaka kazini hujapata tu marafiki??
 
Back
Top Bottom