marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
habari wakuu,naomba mnisaidie bei za mashamba huko pwani na moro zikoje kwa wale wanaofahamu.natanguliza shukrani zangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
moro kuna maeneo waweza bahatika kwa bei isiyozidi 20,000/= kwa ekari.
Moro kuna maeneo waweza bahatika kwa bei isiyozidi 20,000/= kwa ekari.
ni pm nitakupa deatails za mashamba tena yanauzwa sasa kwa urahisi huko pwani!!habari wakuu,naomba mnisaidie bei za mashamba huko pwani na moro zikoje kwa wale wanaofahamu.natanguliza shukrani zangu.
pwani - wilaya ya bagamoyo kuelekea msata - inategemea - kuna maeneo mengine ni 400,000/- kwa acre moja; pengine 250,000/= inategemea muuzaji.
All the best
hata mimi nayataka,please do the needfulnipm nahitaji hayo ya 20,000 tafadhali
Moro kuna maeneo waweza bahatika kwa bei isiyozidi 20,000/= kwa ekari.
Mashamba basi wanaJF, ni polini tena huko morogoro kwa watani zangu wanaosema "sima taa" badala ya "zima taa" utapelekwa polini, ila vizuri kujionea na kufanya maamuzi sahihi. Huko pwani hata mimi nayataka.