Natafuta mashine za kushonea mifuko

Natafuta mashine za kushonea mifuko

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
893
Reaction score
1,021
Habari,

Naomba kujua zile mashine za kushonea mifuko ya safleti ukiwa una packaging unga za mkono zinauzwaje naweza kuzipata wapi.
 
Unamaanisha zile za kushonea viroba ukiwa unapaki unga au, kama ni hizo nipm me ninazo nauza.
 
Majibu haya
Screenshot_20230722_124843.jpg
 
Habari,

Naomba kujua zile mashine za kushonea mifuko ya safleti ukiwa una packaging unga za mkono zinauzwaje naweza kuzipata wapi.
Kama uko Dar nenda kariakoo kitumbini....zipo tele ...
Pia nenda Auto sokoni Nkrumah street
 
Back
Top Bottom