Asali noma, natengeneza juice ya embe plus tango plus ndizi halafu naweka asali, napiga glasi tatu asubuhi mchana unapita napiga uhai tuuu njaa siisikii, kumi na mbili jioni ndo nasikia minyoo inaamka. Jamani tumieni asali achaneni na suKari. Kwa wale wenye matatizi ya choo huo mchanganyiko wa juice ukiufuata dk tano tu ushamaliza zoezi toilet. Achaneni na mavitu yasiyo na faida mwilini tumieni asali wadau. Ht mwili nausikia una mabadiliko flani