Natafuta masoko ya asali

Natafuta masoko ya asali

wa mjini

Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
24
Reaction score
5
Nauza asali kwa ujazo tofauti tofauti kuanzia 20kg 10kg 5 kg 1kg na 500mg tatizo ni soko ndio linanisumbua mwenye talifa ya soko au anao itaji naomba uni saidie
 
Asali noma, natengeneza juice ya embe plus tango plus ndizi halafu naweka asali, napiga glasi tatu asubuhi mchana unapita napiga uhai tuuu njaa siisikii, kumi na mbili jioni ndo nasikia minyoo inaamka. Jamani tumieni asali achaneni na suKari. Kwa wale wenye matatizi ya choo huo mchanganyiko wa juice ukiufuata dk tano tu ushamaliza zoezi toilet. Achaneni na mavitu yasiyo na faida mwilini tumieni asali wadau. Ht mwili nausikia una mabadiliko flani
 
20 kg 130000 10kg 70000 5kg 35000 1kg 9000 500mg par ctn 35000
 
Nauza asali kwa ujazo tofauti tofauti kuanzia 20kg 10kg 5 kg 1kg na 500mg tatizo ni soko ndio linanisumbua mwenye talifa ya soko au anao itaji naomba uni saidie

Tafadhali msaada, hivi ujazo wa asali unapimwaje kama uzito? Mfano 20kg ni sawa na lita ngapi?
 
Hebu tueleze parking ikoje hapa sisemi ujazo, sometime your parking can kill your market or create stream of wealth
 
Umeipima na kuipatia TFDA certificate? Unatofautisha bei ya jumla na rejareja? Unafuga nyuki? Kama jibu ni ndiyo je, unaruhusu utembelewe na mteja kujua mazingira ya usindikaji? Je, kuna motidha kwa anayekutafutia soko la uhakika?
 
Tfda nnayo na mizinga ninayo unakaribishwa kutembea shamba na mpaka kwenye kiwanda motisha ita kuwepo sikazi umefanya mkuu
 
Back
Top Bottom