Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,497
- 16,180
hapana nyinyi mkacoment kwenye uzi wa comment chochote upate likeWale wa General Tyre na sisi tunaruhusiwa ku comment humu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana nyinyi mkacoment kwenye uzi wa comment chochote upate likeWale wa General Tyre na sisi tunaruhusiwa ku comment humu?
Nimechukua 4 bridgestone but ni gharama balaa
Mkuu toka last year hujaongeza upepo??Nimenunua Pirelli tangu June last year hadi leo haijapata pancha wala kujaza upepo
Nina BF Goodrich tokea mwaka 2014 mpaka sasa hazijawahi kupata pancha, ni Made in USA.Mkuu toka last year hujaongeza upepo??
ni bei gani kwa tairi kwa hizi gari ndogo 14"Yes hadi hii June,nimenunua Pirelli kuna muitaliano aliniambia ikisumbua njoo nakurudishia pesa yako yote yupo pale Karibu na SUPER DOLL PUGU ROAD
Uongo uliotukuka.Nimenunua Pirelli tangu June last year hadi leo haijapata pancha wala kujaza upepo
Siyo uongo! Pancha siyo kitu cha lazima kwenye gari. Inategemea unatumia barabara zenye hali gani pia. Ukiweka tairi mpya kukaa bila pacha kwa miaka miwili mitatu ni kitu cha kawaida.Uongo uliotukuka.
Uongo uliotukuka.
Hilo limeshaexpire mkuu Yokohama 85,000? Au umekosea tu kuandika ni 850,000?Kuna mtu anataka kuniuzia Yokohama 85000/= Nimeogopa! Kweli jamani...
Almost a year hujaongeza upepo?Nimenunua Pirelli tangu June last year hadi leo haijapata pancha wala kujaza upepo
So kuongeza upepo kwny tairi ni lazime kuwe kumetokea pancha sio?Siyo uongo! Pancha siyo kitu cha lazima kwenye gari. Inategemea unatumia barabara zenye hali gani pia. Ukiweka tairi mpya kukaa bila pacha kwa miaka miwili mitatu ni kitu cha kawaida.
Nilinunua Pirelli najuta, yaani zimeshaingia misumari tairi 2 kwa wakati tofauti, afadhali ningenunua Michelin ama BFGoodrich.Nimenunua Pirelli tangu June last year hadi leo haijapata pancha wala kujaza upepo
Pirelli ni tyre za uhakika zina nyama ngumu na sio laini kama tairi za mchina zile 😂😂😂Yes hadi hii June,nimenunua Pirelli kuna muitaliano aliniambia ikisumbua njoo nakurudishia pesa yako yote yupo pale Karibu na SUPER DOLL PUGU ROAD