stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Kuna jamaa yangu kafunga huu mpira wa kichina matata sana,hiyo ni Linglong R620 4x4,na bei yake sio mbaya kabisa...Top 10 ya matairi bora duniani 2019 (branddirectory.com)
1. Michellin (France)
2. Pirelli (Italy)
3. Continental (Germany)
4. Goodyear (USA)
5. Cooper (USA)
6. BF Goodrich (UK)
7. Dunlop (USA)
8. Bridgestone (Japan)
9. Yokohama (Japan)
10. Hankook (South Korea)
makampuni haya huwa yanabadilishana nafasi mara kwa mara, kwa mtu wa masafa marefu unashauriwa kutumia matairi haya ila mtu wa safari za mjini mjini bado kuna brand nzuri na bei nafuu kama Goodride, Linglong, Triangle nk