Natafuta mawasiliano ya Baraka wa Vitunguu

Natafuta mawasiliano ya Baraka wa Vitunguu

Status
Not open for further replies.

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
5,600
Reaction score
806
alijitambulisha kwa jina la joseph, yeye anahusika na mbegu za vitunguu pamoja na kilimo chake bagamoyo na mikoan. Naombeni namba zake zinazopatikana ile 0655003510 haipatikani.
 
Hata mimi nimepiga sana hiyo number haipatikani au jamaa alikosea number
 
Kuna number ya airtel anatumia, siwezi kukupa kwasababu hajaniruhusu.

Unaweza kumPM

Sahivi yupo nje ya dar, nadhani ndo muda wa mavuno huu
 
Kuna number ya airtel anatumia, siwezi kukupa kwasababu hajaniruhusu.

Unaweza kumPM

Sahivi yupo nje ya dar, nadhani ndo muda wa mavuno huu
Yule ni mfanyabiashara, sidhani kama atachukia kwa namba yake iliyoko hewani kutolewa hadharani.

Unless useme labda unataka ubembelezwe!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom