spray JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 277 Reaction score 241 May 25, 2020 #1 Habari wanajamii. Natafuta contacts za waagizaji Sukari nchini yaani wafanyabiashara wenye vibali vya kuingiza sukari. Nina shida nao sana na ni haraka.. Kama unawajua naomba tafadhali nipatie mawasiliano Yao au yoyote yule unayemfahamu please. Natanguliza shukurani sana.
Habari wanajamii. Natafuta contacts za waagizaji Sukari nchini yaani wafanyabiashara wenye vibali vya kuingiza sukari. Nina shida nao sana na ni haraka.. Kama unawajua naomba tafadhali nipatie mawasiliano Yao au yoyote yule unayemfahamu please. Natanguliza shukurani sana.
Wang Shu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 2,562 Reaction score 3,715 May 25, 2020 #2 Utapata subiri kidogo, lakini tafuta mawakala kama wapo wa sehemu uliyopo uenda ukafanikisha
Mikopo Chefuchefu JF-Expert Member Joined May 15, 2017 Posts 3,373 Reaction score 6,795 May 25, 2020 #3 Wale hawaongei na mtu mwenye mtaji chini ya Bilioni moja.
Wang Shu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 2,562 Reaction score 3,715 May 25, 2020 #4 Mikopo Chefuchefu said: Wale hawaongei na mtu mwenye mtaji chini ya Bilioni moja. Click to expand... Huenda mtaji anao.
Mikopo Chefuchefu said: Wale hawaongei na mtu mwenye mtaji chini ya Bilioni moja. Click to expand... Huenda mtaji anao.
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 May 25, 2020 #5 Tuna matarajio makubwa sana kwamba aingilie kati swala hili aliweke vizuri ili ipatikane fursa sawa kwa wote na siyo Duopoly system
Tuna matarajio makubwa sana kwamba aingilie kati swala hili aliweke vizuri ili ipatikane fursa sawa kwa wote na siyo Duopoly system
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 May 25, 2020 #6 Viwanda vya ndani navyo vijitahidi kuongeza uzalishaji kukidhi mahitaji, Kuna haja ya kuongeza idadi ya viwanda vya uzalishaji wa sukari nchini. Wapi Dangote 🤷♂️🤷♂️
Viwanda vya ndani navyo vijitahidi kuongeza uzalishaji kukidhi mahitaji, Kuna haja ya kuongeza idadi ya viwanda vya uzalishaji wa sukari nchini. Wapi Dangote 🤷♂️🤷♂️
M Mrs Byesige JF-Expert Member Joined Nov 5, 2019 Posts 862 Reaction score 1,549 May 25, 2020 #7 Mikopo Chefuchefu said: Wale hawaongei na mtu mwenye mtaji chini ya Bilioni moja. Click to expand... I second you!
Mikopo Chefuchefu said: Wale hawaongei na mtu mwenye mtaji chini ya Bilioni moja. Click to expand... I second you!