spray
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 277
- 241
Habari wanajamii.
Natafuta contacts za waagizaji Sukari nchini yaani wafanyabiashara wenye vibali vya kuingiza sukari.
Nina shida nao sana na ni haraka.. Kama unawajua naomba tafadhali nipatie mawasiliano Yao au yoyote yule unayemfahamu please.
Natanguliza shukurani sana.