Natafuta mawe yanayong'aa kama Kioo (quartz)

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
673
Reaction score
974
Habari Wapendwa, Kama Kichwa Kisemavyo natafuta Mawe ya (quartz) Yasiwe Meusi au Uchafu wowote ndani yake, Yang'ae kabisa (Pure Stone). Yawe kuanzia Manne. kama unayo ni pm nipo dar
 
Wasiliana na watu wa Tanga unataka ya ukubwa gani?
 
ungeweka picha pengine mtu anayo ila jina hajui.
Kama haya ila haya ni pink
298512_1349913628.jpg
 
Nenda Nyasa kuanzia Lituhi yapo mengi saaana.
 
una nunuaje... kwa kilo...???? na bei yako...???

yenye maziwa?? crack??? kioo???
 
Habari Wapendwa, Kama Kichwa Kisemavyo natafuta Mawe ya (quartz) Yasiwe Meusi au Uchafu wowote ndani yake, Yang'ae kabisa (Pure Stone). Yawe kuanzia Manne. kama unayo ni pm nipo dar
Weka namba yako ya simu watu watakupigia
 
mkuu weka dau kwa g unanunua bei gani ili watu tuone ka ni fursa tutume mizigo itumwe
 
Back
Top Bottom